Home

About

Dreamers

Entries Closed

Home

About

Dreamers

Entries Closed

SEASON 2 TERMS AND CONDITIONS

We’re currently in the dream fulfilment phase, so it’s too late to enter Season 2.


 1. Entry is open to anyone in Kenya and Tanzania who is at least 18-years-old

 2. To enter, complete the form found on this link by 11:59pm on Tuesday 24th October 2023 or enter in person on our Dream Bus

 3. Make sure the mobile number you provide is correct: if your dream is chosen, we’ll call you to let you know and discuss how to fulfil it

 4. You can only enter once; if you complete multiple entries, only one will be considered

 5. There is no exact criteria for which dreams will be chosen and no predetermined number: each entry will be assessed on its own merits

 6. We'll announce the dreams that have been chosen by Thursday 30th November 2023

 7. By entering, you agree to quotes, photos and videos being taken of your dream being fulfilled for promotional materials

 8. We reserve the right to use these quotes, photos and videos in future campaigns, but will never share personal data with other companies

 9. We reserve the right to change the rules or revoke this promotion at any time without notice

Vigezo na Masharti


 1. Kuingia ni wazi kwa mtu yeyote nchini Tanzania mwenye umri wa miaka 18 au zaidi

 2. Ili kuingia, jaza fomu inayopatikana kwenye link hii kabla ya Jumanne tarehe 24 Oktoba 2023 saa 05:59 usiku au jiandikishe mwenyewe kwenye Dream bus yetu

 3. Hakikisha nambari yako ya simu ni sahihi: ikiwa ndoto yako itachaguliwa, tutakupigia simu kukujulisha na kujadili jinsi ya kuifanikisha

 4. Unaweza kujaza mara moja tu; ikiwa utajaza fomu nyingi, moja tu itazingatiwa

 5. Hakuna vigezo maalum vya kuchagua ndoto na hakuna idadi iliyopangwa: kila kuingilio kitachunguzwa kulingana na sifa zake

 6. Tutatangaza ndoto ambazo zimechaguliwa kufikia Alhamisi tarehe 30 Novemba 2023

 7. Kwa kuingia, unakubaliana na kunakiliwa kwa maneno, picha, na video za ndoto yako ikitekelezwa kwa vifaa vya uendelezaji

 8. Tunahifadhi haki ya kutumia maneno, picha, na video hizi katika kampeni za baadaye, lakini kamwe hatutashiriki data ya kibinafsi na makampuni mengine

 9. Tunahifadhi haki ya kubadilisha sheria au kuachana na kampeni hii wakati wowote bila taarifa

© 2024 betPawa, All rights reserved.


© 2024 betPawa, All rights reserved.